Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Basi ni wasaa Sasa wa huyu mtoa hisani (GSM) wawabwagie timu yenu na mwenyekiti wenu, tuone Kama kutakuwa na nguvu ya kutembea kwa madaha. Mwenyekiti kaisadia vipi Yanga Kama sio kuigeuza Yanga sehemu ya ulaji?Huo sio ugomvi bali kuambiana ukweli ambapo Watz wengi huchukulia kama mmoja kadhalilishwa (comment yangu itabaki hivi kama habari hii ya kweli)
Mwambie Mwamedi atoe bilioni 20 zetu! Akizingua, mimi na mzee mwenzangu Kilomoni tutaandamana mpaka makao makuu kuja kuirudisha timu yetu mikononi mwa wanachama.Duh,ni kweli kwamba sisi Utopolo fc aka vyura tumefikia huku?
Watu wawili hawatengenezi maandamano, hayo ni matembeziMwambie Mwamedi atoe bilioni 20 zetu! Akizingua, mimi na mzee mwenzangu Kilomoni tutaandamana mpaka makao makuu kuja kuirudisha timu yetu mikononi mwa wanachama.
Simba inapata kila kitu na wana simba tumemwelewa ,mkileta vurugu we na Kilomoni tutawatia sero tena kama mwaka juziMwambie Mwamedi atoe bilioni 20 zetu! Akizingua, mimi na mzee mwenzangu Kilomoni tutaandamana mpaka makao makuu kuja kuirudisha timu yetu mikononi mwa wanachama.
Basi ni wasaa Sasa wa huyu mtoa hisani (GSM) wawabwagie timu yenu na mwenyekiti wenu, tuone Kama kutakuwa na nguvu ya kutembea kwa madaha. Mwenyekiti kaisadia vipi Yanga Kama sio kuigeuza Yanga sehemu ya ulaji?