Kwa sababu za kiafya, maombi ya dhamana ya Dr. Slaa yasajilliwa kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri, Dkt. Wilbrod Peter Slaa, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Tanzania impatie dhamana akisubiri rufaa yake ya jinai kusikilizwa.

Ombi hili limewasilishwa chini ya hati ya dharura kubwa na wakili wake, Hekima Mwasipu, likieleza kuwa Dkt. Slaa amewekwa rumande kinyume cha sheria na kwamba afya yake inaendelea kuzorota akiwa gerezani.

Kwa mujibu wa Mwasipu, Dkt. Slaa anashikiliwa katika Gereza la Keko bila msingi wowote wa kisheria, licha ya kuwa kosa linalomkabili linastahili dhamana.

"Mteja wangu amenyimwa haki yake ya msingi kwa kuwekwa mahabusu bila sababu za kisheria kwa kosa ambalo kimsingi ni la kudhaminika," amesema Mwasipu katika maombi rasmi kwa Mahakama ya Rufaa.

Wakili huyo ameeleza zaidi kuwa afya ya Dkt. Slaa ni mbaya na kwamba kuendelea kwake kubaki gerezani kunahatarisha maisha yake.

"Mgonjwa anapaswa kupata matibabu sahihi, na kuzuiliwa kwake gerezani bila uhalali wowote wa kisheria ni sawa na kuhatarisha maisha yake bila sababu," ameandika katika ombi hilo.

Katika maombi yake, Mwasipu amesisitiza kuwa Mahakama ya Rufaa inapaswa kushughulikia suala hili kwa haraka kutokana na athari zisizoweza kurekebishwa endapo mteja wake ataendelea kuzuiliwa.

"Kufungwa kwa Dkt. Slaa katika Gereza la Keko ni kitendo kinachosababisha madhara yasiyorekebishika. Kwa misingi hiyo, tunaiomba Mahakama itoe uamuzi wa haraka juu ya maombi haya ya dhamana," amehitimisha.

slaa.jpeg
 
It's right
 
Mwacheni asote kwanza hadi pale atakapotambua kwamba Urais hauchezewi
 
Hii serikali huwa inapenda sana kukomoa watu kwa kuwaweka rumande. Huu ni ulevi wa madaraka na popote palipo na viongozi walioishiwa hoja kimbilio lao huwa ni kuweka watu ndani bila sababu za kisheria.
 
Hii serikali ya CCM imejaa watu makatili sana wasio na ubinadamu kabisa
 
Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa kuishi Afrika ni mzigo mkubwa sana tena ni mateso makali sana

kuna ndugu na rafiki zangu huko Ulaya na Marekani, huwa wanalia kuhusu hali ya hewa (baridi kuwa kali sana), Vyakula kukosa uasili wake, gharama za maisha kuwa kubwa (wanapata pesa ila ni kama inapitiliza tu!), ubaguzi wa rangi kwa baadhi ya maeneo, ... na mengine mengi.

mambo yanayowafanya kukumbuka kurudi Afrika, na kusema "Bora Afrika"

dunia sio sehemu salama !
 
Hii serikali huwa inapenda sana kukomoa watu kwa kuwaweka rumande. Huu ni ulevi wa madaraka na popote palipo na viongozi walioishiwa hoja kimbilio lao huwa ni kuweka watu ndani bila sababu za kisheria.

Mama anaendeleza Umagufuli. Kwa kweli ana roho ngumu sana. Mi nafikiri Dr. Slaa agome kula huko rumande. Akifanya hivyo siku mbili tu watamuachia.
 
Yeye doctor 2020 alifanya kitumbaya sana lolote limpate yeye alijua ibilisi atageuka malaika akaungana na iibilisi leo anatoa milio
 
Back
Top Bottom