Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kukiwa na wageni kuanzia vipi mambo mengine kuendelea? Wazime na viwanda Ili visiwachafulie hao wageni hali ya hewaNashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
Maoni yako yalizingatiwa. Dola imezuia mkutano wa Mnyika na wanahabariNashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
Kwani Mnyika anatumia ak 47 hao wageni waogope?Hao wageni wenyewe hakuna chamaana watakacho kutekeleza kwa maslahi mapana ya waafrika kwenye mazungumzo yao.