TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
Subiri muda wa kampeni ufike. Malinzi atakosa pa kutokeaMkuu naomba kufahamu Clouds wapo upande upi kati ya Mayai & Malinzi?
Wanashugulikaje pia kutoa support na kumpromote huyo walie upande wake?
Ahsante.