Kwa sababu zilezile za Ndolanga: Sioni uwezekano wa Ally Mayai kuchaguliwa:

Mkuu naomba kufahamu Clouds wapo upande upi kati ya Mayai & Malinzi?
Wanashugulikaje pia kutoa support na kumpromote huyo walie upande wake?
Ahsante.
Subiri muda wa kampeni ufike. Malinzi atakosa pa kutokea
 
Ushindi unaenda kwa athman nyamlani pamoja na kwamba Malinzi alishaanda wapiga kura wake ambao kimsingi ni wezi wenziwe
Ally mayai tembele hana uwezo was kushinda kwakuwa hana watu(yaani wapiga kura) tff Luna mizengwe mingi sisi tuliopo kwenye hiyo industry tunajua vzr,kumshinda Malinzi ni kz ngumu lkn ni nyepesi sana km serikali ikiiingilia kwa kutumia njia za panya km ilivyofanya kwa Malinzi kipindi cha nyuma,inahitajika mbinu za halo ya juu na mshikamano kumshinda malinzi
 
Mayay amefanya vizur kujitokeza sasa kitu ambacho kitampa uzoefu ili uchaguzi mwingine atakuwa mikakati murua zaidi
 
Tumchague Malinzi ili adumishe soka uwanjani. Wale wanaopenda ushindi wa mezani wa sijui nani ana kadi ya kiliniki sijui ya bluu, nyie endeleeni na rufaa za FIFA. Kwanza FIFA wameshasema hawasikilizi machizi
 
Kwa aina ya mpira wa kibongo MALINZI ANAIWEZA HII KAZI.. UJUE HIZI SIMBA NA YANGA ZINAYUMBISHA SANA SOKA LETU.. MARA RUFAA MARA NN.. SO MALINZI AENDELEE TU KUKOMESHA UFIFA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…