CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Endelea kutiririka Juma Lokole,umbea na udaku ndiyo unakuweka mjini.Sisi kama CCM Kanda ya Nyasa tumekamilisha Kazi ya mama iliyoanzia Serena kwenye Birthday 🐼
Kwako Lucas
Sisi CCM Kanda ya Nyasa Hatuna deni na Mwenyekiti Wetu taifani 🐼Endelea kutiririka Juma Lokole,umbea na udaku ndiyo unakuweka mjini.
Endeleeni kujilisha upepo tuSisi CCM Kanda ya Nyasa Hatuna deni na Mwenyekiti Wetu taifani 🐼
ndiyo hiyo huwa nakwambia una shallow thinking, alimwambia , akamuaidi kumlipa STAHIKI/HAKI ZAKE. SIYO FAVOUR KAMA UNAVYOLIWEKAhasira ya kutolipwa Fedha zake alizoahidiwa
rushwa ni aibu isiyofutika, ilisemwa na makamu mwenyekiti, na msihwa alilia sana, na rushwa ikatokea na kufanyika katika ukamilifu wake, tena bila chengaNaona Sugu na Msigwa wamewaaibisha. Mlitegemea mgogoro Sasa mnaona aibu , baada ya Msigwa kukubali kushindwa. Endeleeni na Majungu.
Haki yake ni 79m na Bunge limemlipa sasa hizo alizomuagiza Abdul ni zipi?!🐼ndiyo hiyo huwa nakwambia una shallow thinking, alimwambia , akamuaidi kumlipa STAHIKI/HAKI ZAKE. SIYO FAVOUR KAMA UNAVYOLIWEKA
Una ushahidi wa hicho kiapo?Mbna inafahamika Tundu alikula kiapo Cha kutochukua fomu yoyote ambayo mbowe atachukua katika uchaguzi. Hii ni Kutokana na namna mbowe alivyopigania afya ya Tundu wakati ule alivyo shambuliwa? Au watu mnachagua taarifa mnazitaka ninyi