Pre GE2025 Kwa safu hii ya uongozi wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake watasamehewa na lawama zote watabebeshwa Hayati Magufuli na Job Ndugai

Pre GE2025 Kwa safu hii ya uongozi wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake watasamehewa na lawama zote watabebeshwa Hayati Magufuli na Job Ndugai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nadhani itakuwa busara kama hao covid-19 watasamehewa warudi kundini.
Hata kama walikwenda kinyume bado CDM walikuwa wanapokea ruzuku kwa uwepo wao bungeni. Kwa hiyo nje ya Chama wamekuwa na mchango mkubwa katika kujenga Chama.
Tujifanye Jiwe ndiye aliharibu hata kama hakuharibu!
 
Naona Sugu na Msigwa wamewaaibisha. Mlitegemea mgogoro Sasa mnaona aibu , baada ya Msigwa kukubali kushindwa. Endeleeni na Majungu.
rushwa ni aibu isiyofutika, ilisemwa na makamu mwenyekiti, na msihwa alilia sana, na rushwa ikatokea na kufanyika katika ukamilifu wake, tena bila chenga :pedroP:
 
ndiyo hiyo huwa nakwambia una shallow thinking, alimwambia , akamuaidi kumlipa STAHIKI/HAKI ZAKE. SIYO FAVOUR KAMA UNAVYOLIWEKA
Haki yake ni 79m na Bunge limemlipa sasa hizo alizomuagiza Abdul ni zipi?!🐼
 
Mbna inafahamika Tundu alikula kiapo Cha kutochukua fomu yoyote ambayo mbowe atachukua katika uchaguzi. Hii ni Kutokana na namna mbowe alivyopigania afya ya Tundu wakati ule alivyo shambuliwa? Au watu mnachagua taarifa mnazitaka ninyi
 
Una ushahidi wa hicho kiapo?
 
Hiyo Taarifa ilipostiwa katika page za chadema insta. Na iliibuka kipindi Tundu Yuko iringa ziarani ambapo pia aligusia uchaguzi wa ndani kugubikwa na rushwa kubwa hasa huko Nyasa. Being posted huko I believe the information s are authentic
 
Back
Top Bottom