Kwa safu hii ya ushambuliaji ya PSG nani ataizuia ?


Punguza mihemko mkuu. Best in Europe? Ukimuondoa Veratti waliobakia ni wachezaji wakawaida tu, Marqinious ni mzuri ila ana straggle kwenye tough games. Na Herrera huyu hata Man Utd namba ilimshinda unasema ni best in Europe?
Real Madrid wamekua kwenye hali mbaya toka msimu uliopita, kuizidi Real Madrid sio kigezo.
 
Herrera hajaondoka man u kwa sababu ya kukosa namba bali ni kwa kukataliwa kuongezewa mshahara. Na hakuwa privilegde ya kocha a sasa .

Timu gani yenye best midfield squad in europe??

Yan atleast man city na juve kwa mbali.
 
Herrera hajaondoka man u kwa sababu ya kukosa namba bali ni kwa kukataliwa kuongezewa mshahara. Na hakuwa privilegde ya kocha a sasa .

Timu gani yenye best midfield squad in europe??

Yan atleast man city na juve kwa mbali.

Kwa mbali?????? Hivi De broyne, D. SIlva, B. SIlva, Rodri, Gündoğan

unawafananaisha nahawa wabahatishaji. Veratti ndie world class midfield pekee ndani ya PSG mwenye uwezo wa
kucheza timu yoyote Ulaya.

Herera ni average player at best hata bech kwenye Spanish National team hapati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…