Kwa safu hii ya ushambuliaji ya PSG nani ataizuia ?

Kwa safu hii ya ushambuliaji ya PSG nani ataizuia ?

Mkuu kwa midfield ya psg aisee hapa hujawatendea haki.

Gueye

Verrati

Serabia

Mourinqoh

Herrera

Hapana mkuu. Hii ndio best midfield ya uerope.

Angalia game ya real madrid jinsi casemiro na kloose walivyo mezwa na gueye.

Kuhusu kubeba uefa hapa sina lakusema ila wana squad nzuri saana. Nakubaliana na wewe kuhusu kocha. Tuchel ni mdogo kuliko wachezaji

Punguza mihemko mkuu. Best in Europe? Ukimuondoa Veratti waliobakia ni wachezaji wakawaida tu, Marqinious ni mzuri ila ana straggle kwenye tough games. Na Herrera huyu hata Man Utd namba ilimshinda unasema ni best in Europe?
Real Madrid wamekua kwenye hali mbaya toka msimu uliopita, kuizidi Real Madrid sio kigezo.
 
Herrera hajaondoka man u kwa sababu ya kukosa namba bali ni kwa kukataliwa kuongezewa mshahara. Na hakuwa privilegde ya kocha a sasa .

Timu gani yenye best midfield squad in europe??

Yan atleast man city na juve kwa mbali.
 
Kwa mbali?????? Hivi De broyne, D. SIlva, B. SIlva, Rodri, Gündoğan

unawafananaisha nahawa wabahatishaji. Veratti ndie world class midfield pekee ndani ya PSG mwenye uwezo wa
kucheza timu yoyote Ulaya.

Herera ni average player at best hata bech kwenye Spanish National team hapati.
 
Back
Top Bottom