Kwa safu hii ya ushambuliaji ya PSG nani ataizuia ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Neymar Jr , Icard , Cavan , Mbape , Di Maria
Subpost 1 - Mauro Icardi _ Angel Di Maria _ Edinson Cavani _ Neymar _ Kylian Mba.jpg
Subpost 2 - Mauro Icardi _ Angel Di Maria _ Edinson Cavani _ Neymar _ Kylian Mba.jpg
 
Mkuu hao hawachezi wote uwanjani, Timu inamatatizo mengi wameshindwa kutatua. Kuendelea kukusanya washambuliaji wenye majina makubwa sio suluhisho la matatizo yao.
 
Navas kaletwa golini
 
Navas kaletwa golini

Huo ni usajili mzuri, Lakini timu ina tatizo la midfield wa chini yani namba 6, wamekua wkimchezesha Marqunhos. Na wanaendela kumchezesha, mwaka jana iliwakost sana kwenye Champion League wakawa wanacheza vibaya.
Pia timu ina tatizo kwenye Defence, Silva ameshachoka nawale kina Kipembe ni wachezaji wakucheza Lile sio PSG. Yule jamaa anacheza kulia hata haeleweki kabisa, Sehemu hizo ndizo zenye udhaifu wa timu na ndizo zinazowafungisha kwenye mechi kubwa.
Kumbuka magoli waliofungwa Msimu uliopita mechi ya Man UTD Defense ilichangia kwa asilimia 100 yale magoli yote.

Huyu kocha waliane anachingia kwa asilimia kubwa timu kuwa haieleweki.
 
Hakuna wa kuizuia katika Ligue 1.Ila kama unazungumzia kwa wanaume kule Uefa,hatua ya 16 ndo mwisho wao,kama ilivyo kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hao kina Neymar Jr , Cavan , Mbape na Di Maria si miaka yote wapo na wanaishia kupapaswa wakitoka Nje ya Ligi yao ya Wakulima?

Hapo aliyeongezeka ni Icard tu ambaye ni wa kawaida sana.

Hapo mchezaji ni Mbappe tu! Huyo Neymar yeye utakutia Timu inatafuta ushindi yeye anakazania kupega kanzu na visigino.
 
Aiseee !
 
Huo ni usajili mzuri, Lakini timu ina tatizo la midfield wa chini yani namba 6, wamekua wkimchezesha Marqunhos. Na wanaendela kumchezesha, mwaka jana iliwakost sana kwenye Champion League wakawa wanacheza vibaya.
Pia timu ina tatizo kwenye Defence, Silva ameshachoka nawale kina Kipembe ni wachezaji wakucheza Lile sio PSG. Yule jamaa anacheza kulia hata haeleweki kabisa, Sehemu hizo ndizo zenye udhaifu wa timu na ndizo zinazowafungisha kwenye mechi kubwa.
Kumbuka magoli waliofungwa Msimu uliopita mechi ya Man UTD Defense ilichangia kwa asilimia 100 yale magoli yote.

Huyu kocha waliane anachingia kwa asilimia kubwa timu kuwa haieleweki.
Mkuu kwa midfield ya psg aisee hapa hujawatendea haki.

Gueye

Verrati

Serabia

Mourinqoh

Herrera

Hapana mkuu. Hii ndio best midfield ya uerope.

Angalia game ya real madrid jinsi casemiro na kloose walivyo mezwa na gueye.

Kuhusu kubeba uefa hapa sina lakusema ila wana squad nzuri saana. Nakubaliana na wewe kuhusu kocha. Tuchel ni mdogo kuliko wachezaji
 
Back
Top Bottom