Kwa sasa Afrika nzima hakuna number 9 bora kumzidi Peter Shalulile

Mayele ni mchezaji wa kawaida sana, huyu aliyeshindwa ku battel na akina mpole, aliyesimama na goli zake 15, kama phiri asingeumia angeshampita

Huyu mayele hata nusu ya uwezo aliokua nao kagere hajafikia
Poor analysis.
 
Mtoa mada upo spot on, kwa sasa hii product ya katutura hana mshindani kabisa kwa no 9,nitafurahi kama masandawana watapiga game kwa mkapa ili watanzania wajionee why hawa wanaitwa Brazilians, nitafurahi Simba SC iende all the way kwenye final (inawakilisha nchi),but final ya Raja na Mamelodi, Africa itasimama
 
Mamelodi hawana fanbase ya kutosha kuchangamsha fainali. Ukitaka fainali ya kufa mtu muweke Simba na Raja hapo.
 
Hiv uliwahi muona anavocheza huyo alikuwa beki wa pembeni badae akapandishwa akawa anacheza Kama winga sizan Kama anacheza namba tisa
 
Watu wenye akili kama wewe mpo wachache sana kudos
 
Mamelodi hawana fanbase ya kutosha kuchangamsha fainali. Ukitaka fainali ya kufa mtu muweke Simba na Raja hapo.
Umuweke mtu asie na uwezo ivi una akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…