Kwa sasa Afrika nzima hakuna number 9 bora kumzidi Peter Shalulile

Kwa sasa Afrika nzima hakuna number 9 bora kumzidi Peter Shalulile

kwaiyo timu zote za Afrika ambazo hazina bingwa wa Africa ni vibonde,
Yan wew hoja huna,na ata hizo hoja zako.za kipuuzi kuzitetea hauwezi
Ndiyo ni vibonge kama sio washinde ubingwa
 
Mayele ni mchezaji wa kawaida sana, huyu aliyeshindwa ku battel na akina mpole, aliyesimama na goli zake 15, kama phiri asingeumia angeshampita.

Huyu mayele hata nusu ya uwezo aliokua nao kagere hajafikia.
Ukweli mchunguu huu.
 
Mtoa mada upo spot on, kwa sasa hii product ya katutura hana mshindani kabisa kwa no 9,nitafurahi kama masandawana watapiga game kwa mkapa ili watanzania wajionee why hawa wanaitwa Brazilians, nitafurahi Simba SC iende all the way kwenye final (inawakilisha nchi),but final ya Raja na Mamelodi, Africa itasimama
Raja watakula nyingii kwa mamelod lol.
 
Leo tunampasua al hilaly
IMG_20230315_124736.jpg
 
Back
Top Bottom