na simba ni vibonde?Kina ali ahaly ni vibonde?
Nimezungumza kibiashara na msisimko wa kimpira kutokana na idadi na aina ya washabiki walio nyuma ya timu hizo.Umuweke mtu asie na uwezo ivi una akili kweli?
Final za mwaka huu zinachezwa home and away kama zamani.Final ikichezwa Senegal, simba itajaza watu? Simba na Yanga inajaza taifa tu
Kupitwa siyo sababu ya kusema mchezaji ni WA kawaida, Abrah jr wa Ruvu walishawai ku tie magoli na Msuva mbele ya strikers kama Tambwe, Kiiza, Boko tena kipindi hicho wako wa motoMtu kapitwa na mpole[emoji16]
Shida hatutaki mlinganishe shalulile na iyo takataka ya yangaKupitwa siyo sababu ya kusema mchezaji ni WA kawaida, Abrah jr wa Ruvu walishawai ku tie magoli na Msuva mbele ya strikers kama Tambwe, Kiiza, Boko tena kipindi hicho wako wa moto
Hata huyu Shalulile kuna misimu hakuwa top scorer mfano season ya 20/21 alimaliza nafasi ya pili Ila msimu ulofuata ndo akawa top scorer..sasa Mayele misimu miwili mfululizo anafunga zaidi ya goals 15 af unasema ni wa kawaida hapo unaongelea ushabiki na siyo uhalisia
Kama unapima ubora wa mtu kwa kupitia kuwa top scorer basi Shalulile siyo Bora Zaid Afrika maana msimu uliyopita hajawa top scorer wa klabu bingwa
View attachment 2553682
Uwezo tunataka sio msisimkoNimezungumza kibiashara na msisimko wa kimpira kutokana na idadi na aina ya washabiki walio nyuma ya timu hizo.
Croatia alipocheza fainali ya World Cup 2018 haikuwa the best option kibiashara. Fikiria kama ingekuwa France vs England.
Akili ndogo, wapi umeona nimelinganisha Shalulile v Mayele??Shida hatutaki mlinganishe shalulile na iyo takataka ya yanga
Sina muda wa kubishana. Shukuru tu kuwa nimekupa taarifa ambayo ulikuwa hauna.Uongo huu
Unapimaje mtu mwenye akili na asiyekuwa nazo?Umuweke mtu asie na uwezo ivi una akili kweli?
Afrika nzima ya wapi weweAisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter Shalulile
Huyu MNAMIBIA anajua kufunga sana kwakweli, Number 9 natural huyu anafunga kila aina ya magoli
Ananikumbusha ubora wa Mbwana Samatta kipindi kile na TP MAZEMBE yake kabla hajaenda ULAYA.
View attachment 2552353
kwaiyo timu zote za Afrika ambazo hazina bingwa wa Africa ni vibonde,Simba ni kibonde ndiyo hana ata ubingwa wa Africa