Mtoa mada upo spot on, kwa sasa hii product ya katutura hana mshindani kabisa kwa no 9,nitafurahi kama masandawana watapiga game kwa mkapa ili watanzania wajionee why hawa wanaitwa Brazilians, nitafurahi Simba SC iende all the way kwenye final (inawakilisha nchi),but final ya Raja na Mamelodi, Africa itasimama