Kwa sasa CHADEMA inahitaji wanachama Hai wengi kuliko wakati mwingine wowote, Tushiriki kuimarisha chama

Napendekeza Tufungue tawi la CHADEMA Jamii Forums....
Kwa miaka 10 niliyokaa hapa nimeona nguvu ya mtandao huuu

Haiwezekani ikiwa ni mpira utaona matawi ya mashabiki tena wakijitoa kwa hali na mali kwa wivu mkubwa..

Tunapoelekea katika Uchaguzi mkuu...ifahamike rasmi CHADEMA JF ipo na inaupelekea pumzi ya moto Chama dola.
 
Uko sahihi
 
Zoezi la kuhakiki na kuandikisha lianze mara moja.
Tunahitaji kuwe na programu maalumu pia ya ujenzi wa ofisi kila wilaya na jambo pamoja na mfumo wa kulipa makatibu wa wilaya ili wafanye kazi zao kwa ufanisi
Iwekwe Nguvu ya kutosha
 
Ndiyo jukwaa Rasmi la Chadema itapendeza
 
Hili ni jambo la maana sana kwa CDM kwa sasa na tunaomba viongozi wetu mlifanyie kazi.
 
Zoezi la kuhakiki na kuandikisha lianze mara moja.
Tunahitaji kuwe na programu maalumu pia ya ujenzi wa ofisi kila wilaya na jambo pamoja na mfumo wa kulipa makatibu wa wilaya ili wafanye kazi zao kwa ufanisi
Mambo yanabidi yawe mpera mpera tumebakiza muda mchache sana kufika October ya uchaguzi mkuu.
 
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…