Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki.

Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu.


Tungepata Jokeri.
 
Hapa naanza kuogopa kuhusu kama akili za Lucas Mwashambwa zikaenda kumpa mtu mwenye tatizo la ubongo mfano RC chalamira kapata tatizo upande mmoja.😂😂😂
 
Back
Top Bottom