johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyie hapo Mbeya mna kila kitu manka!Kuna haja ya kujengwa ikulu ya milele kwenye eneo hilo
Maendeleo hayana vyama!Nireteeni gwajimah
Wapinzani waliuza madini yetu kwa mabeberu miaka mingi sana ndugu zangu
Ole wenu mniletee mbunge ambaye sio wa ccm! Hata hili daraja naweza kuvunja nikauze skrepa.Maendeleo hayana vyama!
Upuuzi mtupu.Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inadtahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na mikoa mingine iliyosahaulika ni lazima ikumbukwe sasa kama kahawa ilivyoinufaisha Kilimanjaro.
Kupanga ni kuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Nyie mnachangia nini?Upuuzi mtupu.
Siye wa Ngulyati tunafikiri kodi zetu zinatumika vibaya.
Mhimili wa CAG uingilie kati.
Geita inachangia kiasi gani kwenye pato la Taifa?Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inadtahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na mikoa mingine iliyosahaulika ni lazima ikumbukwe sasa kama kahawa ilivyoinufaisha Kilimanjaro.
Kupanga ni kuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Kama unatoka usingizini hivi.Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na mikoa mingine iliyosahaulika ni lazima ikumbukwe sasa kama kahawa ilivyoinufaisha Kilimanjaro.
Kupanga ni kuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Kilimanjaro au Moshi?Geita au Chato?
Oh masikini mataga.Kilimanjaro au Moshi?
Hahahaaaa......hahahaaaa...... Nasikia Lema kaomba kazi UN Habitat!Oh masikini mataga.
Ohh masikini mataga.Hahahaaaa......hahahaaaa...... Nasikia Lema kaomba kazi UN Habitat!