Kwa sasa hakuna mchezaji bora zaidi ya Vinicius Junior(vini jr)

20241025_063637.jpg
au sio
 
Huyo Mohamed Salah kwa sasa sidhani kama ana maajabu. Tukubali tu Vinicius Junior anastahili. Mfano msimu uliopita, amesaidia timu yake kuchukua Laliga, na pia UEFA! Vipi kuhusu huyo Mohamed Salah!! Ana kipi cha kujivunia?
Unamaanisha ukichukua UEFA tu basi Ballon D'or unachukua
Je, kuna mchezaji wa Chelsea alishachukua Ballon D'or kisa UEFA?
 
Huyo Mohamed Salah kwa sasa sidhani kama ana maajabu. Tukubali tu Vinicius Junior anastahili. Mfano msimu uliopita, amesaidia timu yake kuchukua Laliga, na pia UEFA! Vipi kuhusu huyo Mohamed Salah!! Ana kipi cha kujivunia?
Mtu amehusika kwenye magoli 65 kwa msimu Jana tu unauliza ana kipi cha kujivunia?
Huyo vini ndo angekua na takwimu za Salah si tungelazimishwa kumuabudu?
 
Vini anamzidi nini Pacome, Percy tau au Kahraba? Ni bora kwenye hiyo ligi yao kivyao sio kwenye ligi zetu. Ukimuweka pale mbele na Coastal union vs Yanga dimba la sheikh Abeid Arusha atatoboa?
 
Mamaeee hivi kwa akili za kijinga kama hizi sisi tutakuja kuongoza kwa maendeleo duniani? Yaani pimbi kama huyu anasema Vini Jr ana uwezo kuliko Ronaldo,Messi, na Mbappe combined?

Kwa akili zako siku ukiletwa hapa jela Shimo la Tewa, Kenya lazima uwe mke wangu. Jinga kabisa.
 
Kumbe uko jeka moja na P diddy anakuzibua mtaro
 
Back
Top Bottom