We jamaa una utani wa ngumi.... wimbo wa taifa hujaujua bado?Huo wimbo unaitwaje niutafute
Acha unao, bonge la ngoma hiliFrom a hip-hop perspective, his new song is garbage in most senses.
Acha unao, bonge la ngoma hili
unaitwa tafutaHuo wimbo unaitwaje niutafute
From a hip-hop perspective, his new song is garbage in most senses.
Siku nyingine Tumia akili huyo Darassa unaesema wa juzi katoa ngoma Hit song yake ya kwanza 2012 ngoma inaitwa Sikati Tamaa ukaja remix yake ndani kuna Joh Makini na Godzillah.Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
Darassa gani mwenye single mbili?Kwa hizo single 2 au unajingine
Mshaanza mnataka kila mtu Aimbe kama Nikki MbishiKwa sasa yupo vizuri lkn haimbi Hip Hop
Crosschek ulichoandika kabla hujatumaAhaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
yOU TUBE TAFUTA_DARASA MUZIKI UTAPATAHuo wimbo unaitwaje niutafute
Beware: if I'm not being stupid, I could be sarcastic. Plus, my sense of humor could be a little over the top for you. Therefore, my bad in advance.
Unasema darasa kaibuka tu juzi, au sijakuskia vizuri? Labda kama neno JUZI lina maana mpya!Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
"Sina Mistari ya Majungu, nikikuchana nakutag"Unasikiliza ngoma zake huyu jamaa au una diss tu
Tuambie wewe, anaimba nini?Kwa sasa yupo vizuri lkn haimbi Hip Hop
Wasn't none of that there. Not an ounce.
Hao hao wanaokataa Darassa afanyi hip hop ndio hao hao mashabiki wa kina Drake,Lil Wayne,Fetty Wap na wengine Kibao wa mbele ambao hawakazi kama Nikki Mbishi.Watunza misingi mna shida sana, yani wanataka mpaka arap kwenye beat ngumu with hard vocals ndo waone anafanya hip hop.
Hip hop sio imani ya dini kwamba haibadiliki, unless you take it too extreme.
Viva darassa, keep going.