Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

Acha kuji confuse kwa kucheza blues kwenye ragamafin
nyimbo nzuri ila sio Hipohop hebu ngoja kwanza nisikilize Oh yeah ya Da brat ......au rising to the top (LB)
 
Hiphop ya kibiashara...music ni kuchange..waimba hiphop wengi washashindwa kubadilika kama wenzetu ...big up darasa..hii ndio hiphop ya karne hii...!!ndio tunayoitaka...!!
 
Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
Siku nyingine Tumia akili huyo Darassa unaesema wa juzi katoa ngoma Hit song yake ya kwanza 2012 ngoma inaitwa Sikati Tamaa ukaja remix yake ndani kuna Joh Makini na Godzillah.

Sasa wewe huyo Darassa unaesema wa juzi labda utuambie Darassa yupi huyo?

Na hiyo ni kwa sasa elewa somo.Joh Makini hana ngoma inayo-hit kwa Sasa na huyo Fid Q hana ngoma inayo-hit na MwanaFA ngoma yake ya Dume Suruali imekimbizwa vibaya mno na ngoma ya Darassa
 
Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
Crosschek ulichoandika kabla hujatuma
 
Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
Unasema darasa kaibuka tu juzi, au sijakuskia vizuri? Labda kama neno JUZI lina maana mpya!
 
Watunza misingi mna shida sana, yani wanataka mpaka arap kwenye beat ngumu with hard vocals ndo waone anafanya hip hop.
Hip hop sio imani ya dini kwamba haibadiliki, unless you take it too extreme.
Viva darassa, keep going.
 
Hao hao wanaokataa Darassa afanyi hip hop ndio hao hao mashabiki wa kina Drake,Lil Wayne,Fetty Wap na wengine Kibao wa mbele ambao hawakazi kama Nikki Mbishi.
 
Unaposema kwamba Darasa ndio msanii wa Hip hop ambaye ni bora hapa Nyumban kwa sasa, umetumia vigezo gani/?? Je Darasa anasimamia real hip-hop? nachofahamu mimi ni kwamba ili tukuite msanii Bora wa Hip-Hop ni LAZIMA uwe umesimamia Misingi/Nguzo zote za Hip Hop je Darasa kafanya Hivyo??

Me naona ungesema Wimbo wa Darasa ndio wimbo Bora kwa sasa na sio mwana Hip-Hop Bora!
 
Back
Top Bottom