Duu wee chalii yangu acha sarau aisee mnyonge mnyongeni japo tuwili lakini twakuna mioyo hutaki wee mwangaKwa hizo single 2 au unajingine
Simple mind km ww utasema hivyo ila watu wazima tunafikirisha ndonga kwa kumpa credit fid q au maalim nashDarasa kwa mda huu ndio msanii bora wa Hip hop hapa Tanzania mana mashairi yake ni matamu na yanaelimisha na kutia moyo,
Babu usiongelee hip hop ongelea kurap hip hop Ni kitu kingineUnasikiliza ngoma zake huyu jamaa au una diss tu
Ile ngoma sio hip hop .pale darasa amerap kwenye bit ya zukuKwa sababu hawana hoja za kuitetea, ni sawa tu. Hiyo ngoma ni nzuri kwa muziki wa kibiashara, kwenye hip-hop ni taka.
Hugo sio hip hop we boya.humu jf kuna manyumbu wengi sanaHiphop ya kibiashara...music ni kuchange..waimba hiphop wengi washashindwa kubadilika kama wenzetu ...big up darasa..hii ndio hiphop ya karne hii...!!ndio tunayoitaka...!!
AsanteeeeeeeeeeeUnaposema kwamba Darasa ndio msanii wa Hip hop ambaye ni bora hapa Nyumban kwa sasa, umetumia vigezo gani/?? Je Darasa anasimamia real hip-hop? nachofahamu mimi ni kwamba ili tukuite msanii Bora wa Hip-Hop ni LAZIMA uwe umesimamia Misingi/Nguzo zote za Hip Hop je Darasa kafanya Hivyo??
Me naona ungesema Wimbo wa Darasa ndio wimbo Bora kwa sasa na sio mwana Hip-Hop Bora!
mpaka sasa hamjajibu swali,kama si umburula ni nini?jibu swali huo wimbo mnaita wa taifa ni wimbo gani wengine hawana redio wala tv huko mwezini walipoyOU TUBE TAFUTA_DARASA MUZIKI UTAPATA
Acha mmasaiDuu wee chalii yangu acha sarau aisee mnyonge mnyongeni japo tuwili lakini twakuna mioyo hutaki wee mwanga
Nyimbo 2 zilizohiti teyari ushamrank kuwa ni msanii bora! Hii kaliDarasa kwa mda huu ndio msanii bora wa Hip hop hapa Tanzania mana mashairi yake ni matamu na yanaelimisha na kutia moyo,
nan kakwambiaDarasa kwa mda huu ndio msanii bora wa Hip hop hapa Tanzania mana mashairi yake ni matamu na yanaelimisha na kutia moyo,
Mwana fa nae anafanya hiphopAhaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,