Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

Kuna thread hapa inasema zamani alikuwa akiimba muziki mzuri wenye ujumbe ila haukuwa ukifanya vizuri ndipo akaamua kuimba anachoimba sasa, simply alikuwa akiimba mwanzo hip hop lakini hamtaki ndipo akawaletea muziki mwingine laini wa kujigamba na mapenzi mkamuelewa sio hip hop
 
Darasa kwa mda huu ndio msanii bora wa Hip hop hapa Tanzania mana mashairi yake ni matamu na yanaelimisha na kutia moyo,
Simple mind km ww utasema hivyo ila watu wazima tunafikirisha ndonga kwa kumpa credit fid q au maalim nash
 
Hiphop ya kibiashara...music ni kuchange..waimba hiphop wengi washashindwa kubadilika kama wenzetu ...big up darasa..hii ndio hiphop ya karne hii...!!ndio tunayoitaka...!!
Hugo sio hip hop we boya.humu jf kuna manyumbu wengi sana
 
Unaposema kwamba Darasa ndio msanii wa Hip hop ambaye ni bora hapa Nyumban kwa sasa, umetumia vigezo gani/?? Je Darasa anasimamia real hip-hop? nachofahamu mimi ni kwamba ili tukuite msanii Bora wa Hip-Hop ni LAZIMA uwe umesimamia Misingi/Nguzo zote za Hip Hop je Darasa kafanya Hivyo??

Me naona ungesema Wimbo wa Darasa ndio wimbo Bora kwa sasa na sio mwana Hip-Hop Bora!
Asanteeeeeeeeeee
 
Msanii bora wa Bongo flavour... Darasa haimbi hip hop...

He tried once, hakufanikiwa then akaamua kukiuka misingi now ana shine...

[HASHTAG]#BabylonVSrastaman[/HASHTAG].
 
Another Horse turned into donkey...
He used to be a racing horse then.
 
Vyovyote itakavyokua awe kaimba real hip hop au commercial iwe takeu muziki ni biashara.Kuna wakati unatakiwa uangalie alama za nyakati kikubwa ni kutengeneza more money!!
 
Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
Mwana fa nae anafanya hiphop
Ajabu la 10 la dunia hili
 
Back
Top Bottom