Chapa kazi mtani,usikimbilie veta kwani hakuhami
Mwenzako kaulizia veta, sio vyuo vinavyosimamiwa na vetaSijajua
But mim nlisoma don bosco youth
Ni chuo kizuri mnoo
Karib kwenye ulimwengu wa matechinician mkuu
Asante mkuu.. tatzo ni nafas make nadhan nimechelewa San
Mwenzako kaulizia veta, sio vyuo vinavyosimamiwa na veta