Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

Perfect mkuu!
 
Hali ni mbaya aisee
 
1. Kwa kutumiq ujuzi na maarifa walioyapata vyuoni.

2. Mtaji walio ao nia elimu. Elimu ni mtaji mkubwa sana. Wanapaswa kuibadili elimu kuwa fedha. Kama hawawezi kufanya hivyo basi walipenda shule kukua tu.

3. Angalia majibu ya namba 2.

4. Kumbe ulitaka uanze kwa combine harvester? Anzia jembe la mkono Kisha likupeleke kwenye combine harvester. Hivi mbona mnajiona special sana ? Ninyi kina nani hata mshindwe kutumia jembe la mkono? Kwahiyo mnaona ni bora kudanga kuliko kulima kwa jembe la mkono?
 
Mapinduzi ya viwanda yanategemea sera nzuri za kodi
 
Darasa la 4=sawa na kutokwenda shule kabisa
Darasa la 7= sawa na Sekondari
Degree = sawa na kumaliza sekondari


Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Shida bongo waajiri ni wachache,wahitimu wengi na fani nyingi hazimfanyi muhimtimu aweze kujiajiri.

Fani za hivyo zipo vyuo vya ufundi kama VETA tu.

Suluhisho,vyuo vyetu vikuu viweze kubuni mitaatala yenye kuwazesha wahitimu kujiajiri kwa kiasi kikubwa kuliko kuajiriwa
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=EkcGwc-M308&pp=ygUTUm9jayBzdGFycyB3aXRoIHBoZA%3D%3D
Hao ni rock stars wenye PhDs

Rowan Atkinson (Mr Bean) Masters in Engineering.

Ukiingia mtaani nchi za wenzetu ni kawaida sana kukuta waiters, shop assistant na kwenye kazi zingine ambazo unskilled kuna watu wana degrees mpaka masters.

Mshkaji wangu ana undergraduate degree ya ‘mass communication’ na maters ya ‘international relationship’ kazi anazofanya ni za majikoni toka apate degree zake 20 years ago na biashara za hapa na pale zikikwama anarudi jikoni.

Acheni kukariri ukishapata degree ajira ni halali yako.
 
Maarifa yasiyo na mtaji ni sawa na kazi bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hawa waende veta kupata ujuzi hayo madegree hayana tija yoyote yanazalisha bodaboda wazee.
 
 
Nilishawahi kuandika humu siku moja kuanzia form 4, shule ziwe na kitengo cha student advice kwa wanaotarajia kufanya mitihani kuwaeleza ugumu wa kuingia combo wanazotaka A level na uhalisia wa job market.

Same thing A level kuwe na student advise kila shule kuwaambia uhalisia wa degree wanazoenda somea na job market. Walau hawa wanafunzi wawe na option za technical colleges watoke na skills ambazo ni useful katika kujiajiri. Kuliko kupoteza miaka mitatu kwenda kusoma degree ya sociology.

Hila kwa accountant kukosa kazi Tanzania ni uzwazwa, watu wote wale kariakoo wanaosumbuliwa na TRA utakosa kweli watu 200 wa kuwafanyia hesabu miji mikubwa kila mtu unatoza laki tu.

Somethings are beyond me

Acheni kukariri degree zina halalisha ajira baadae, haipo hivyo duniani.
 
Haya sasa. Plan zangu zikienda kama navyofikiri zitakwenda, nitaongeza ajira. Hasa za watu ambao umewataja hapo..ila wawe competent kwel sio maghumashi.

Serikal inapaswa kutuangalia sana na kutu favour sie wajasiriamal ambao tunaweza angalau kuajiri wasomi kwa kiasi kikubwa.
 
Haya sasa tuambie, inakuwaje karibu 90% ya wahitimu wa degree wako njia panda kusaka ajira na vipato huku wakiambulia patupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…