Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao.
Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani.
Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko tukisimama mmoja mmoja. Kauli mbiu kumtafuta mdude hadi tumpate.
Jeshi la polisi limeshindwa kutulinda,wao wapo busy na mambo ya ccm,juu ya usalama wako ni juu yetu sisi wenyewe.
#Freemdude
#Free haki ya kuishi
#freesoka
#freeTunduLisu