Kwa sasa jezi za Yanga ndizo zinazoongoza kuvaliwa mitaani, asanteni Yanga kutupa confidence mashabiki wenu

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses and roses

Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa sasa East afrika na kati nikimaanisha Yanga.

Asanteni yanga kwa kutupa hii confidence mashabiki zenu

#wananchi
 
Hao ambao hawavai jezi sio mashabiki loyo...hahahha yani kwa ushindi wa Yanga ambao na Simba imeshafika mbali kwny historia ya soka ndo watu wanapata presha?
 
Hello bosses and roses

Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa sasa East afrika na kati nikimaanisha Yanga.

Asanteni yanga kwa kutupa hii confidence mashabiki zenu

#wananchi
Soon mtavaa nguo.zenu halisi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom