kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Mtani Jembe upo😃?Khaaa kazi ipo
Hahahahaaa
TunaelewaKhaaa kazi ipo
Nipoo juzi jana na leo 🤓Mtani Jembe upo😃?
Kachukueni kombe lenu la HistoryHao ambao hawavai jezi sio mashabiki loyo...hahahha yani kwa ushindi wa Yanga ambao na Simba imeshafika mbali kwny historia ya soka ndo watu wanapata presha?
🤪 tulieni hivyo hivyooKachukueni kombe lenu la History
Soon mtavaa nguo.zenu halisi 🤣🤣🤣Hello bosses and roses
Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa sasa East afrika na kati nikimaanisha Yanga.
Asanteni yanga kwa kutupa hii confidence mashabiki zenu
#wananchi
Hahahahaaaa, time will tellSoon mtavaa nguo.zenu halisi 🤣🤣🤣
Very soon 🤣🤣🤣 si mnatamba nyie ndio timu pekee kumfunga mwarabu kwaoHahahahaaaa, time will tell
Polepole chief, tunaelewa maumivu mnayopitiaUlimbukeni at work