Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75.
Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha.
Vifurushi vimekuwa ghali, internet imekuwa kama "luxury good" sasa so kama una uraibu utajikuta umetumia pesa ndefu sanaaaaa katika manunuzi ya bando ambayo inaweza kuumiza bajeti yako finyu.
Introverts wenzangu ambao most of the time mmeinamishia kichwa simu itabidi mzoee kulimit muda katika simu ila kama mfukoni mambo poa its all good.