Kama unashinda tiktok, youtube, instagram lazima liisheView attachment 3112980
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75.
Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha.
Vifurushi vimekuwa ghali, internet imekuwa kama "luxury good" sasa so kama una uraibu utajikuta umetumia pesa ndefu sanaaaaa katika manunuzi ya bando ambayo inaweza kuumiza bajeti yako finyu.
Introverts wenzangu ambao most of the time mmeinamishia kichwa simu itabidi mzoee kulimit muda katika simu ila kama mfukoni mambo poa its all good.
Line maalum Kwa wafanyabiashara,,Laini ya kawaida ya halotel au ni ile ya internet pekee yake????
".......Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75......."View attachment 3112980
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75.
Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha.
Vifurushi vimekuwa ghali, internet imekuwa kama "luxury good" sasa so kama una uraibu utajikuta umetumia pesa ndefu sanaaaaa katika manunuzi ya bando ambayo inaweza kuumiza bajeti yako finyu.
Introverts wenzangu ambao most of the time mmeinamishia kichwa simu itabidi mzoee kulimit muda katika simu ila kama mfukoni mambo poa its all good.
Ila kama mfukoni mambo poa, it's all good.".......Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75......."
ππ»ππ»ππ» mkuu mimi ninaona ujiongelee wewe
SIjakiona maana sijasoma hata uzi wenyewe mpaka mwisho nimeangalia tu hiyo line niliyo quote nikaamua kupiga spanaIla kama mfukoni mambo poa, it's all good.
πππ
Haujakiona icho kifungu mkuu?
Laini ya kawaida .Laini ya kawaida ya halotel au ni ile ya internet pekee yake????