Kwa sasa kama una addiction na intaneti katika simu, itabidi upate therapy maana utafilisika

Internet unga bando maalum

Halotel elfu 5 GB 4 week

Elfu 10 GB 9 dak kibao mwez
Jee internet ina kasi au mauzauza tu, maana mie huunga GB za elfu 5 kwa week napata GB 4 lkn internet mtihani hasa kwa watsapp. Sasa sijui ni setting ya simu
 
Tumekuskia Sisi introvert wenzio
 
Jee internet ina kasi au mauzauza tu, maana mie huunga GB za elfu 5 kwa week napata GB 4 lkn internet mtihani hasa kwa watsapp. Sasa sijui ni setting ya simu
Halotel huduma yao ni mbovu ndiyo maana vifurushi vyao cheap. Hizo GB wanazosema ni ushuzi mtupu, spidi konokono
 
Ninahusika na uungaji wa vifurushi vya intaneti vya gharama nafuu, kwa anayehitaji unaweza kunicheki kwa namba
0673143968
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…