Kwa sasa kipindi cha mahojiano cha kusikiliza ni Power Breakfast cha Clouds FM

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.

Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.

pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.

Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili wapate teuzi.
Usije sema sijakwambia.

Uzi tayari.
 
Watanzania wote ni wale wale wakishateuliwa wanaunga mkono hoja. Ni afadhali watu wanaohoji waendelee kubaki huku ili waendelee kuhoji
 
Angalau wataunga mkono lkn watafanya vitu vya maana na angalau tutakuwa tumepata mawazo mapya
 
The system is so corrupt kiasi kwamba ukiungana nayo huwezi kwenda against it. Muulize yule DC wa Tanga kilichompata baada ya kujaribu kuleta changes. Ukiwa nje unaona rahisi ila ukiingia unakuja kugundua huwezi kubadili chochote. So, it is either uungane nao kula au upige kelele utolewe na hakuna kitakachobadilika.
 
Katika vipindi vilikuwa Bora ni Good morning cha wasafi kina Kawau ila siku hizi nimekuwa kama wakala wa chama yan ni kusifia ujinga tu
 
Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.

Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.

pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.

Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili wapate teuzi.
Usije sema sijakwambia.

Uzi tayari.
Habari Ziwafikie Wasafi FM
 
Ni kweli kabisa kuna mahojiano wanayoyafanya yanatusaidia sana kutambua baadhi ya mambo hasa yanayoihusu jamii, kwakeli Redio ni chombo cha kuelimisha jamii.
 
Back
Top Bottom