dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Wwakiwa wote na Siza wanapigana majungu kweli ila wana hoja nzito sanaHaswa ukute Masoud Kipanya yupo. Kuna waandishi hawana njaa aisee.
tena bora aje mwakilishi,,akija boss mwenywe huwa anayooshwaa haswaa maana anapaswa aje na maelezo sahihi na takwimu sahihikwa kweli wamekitendea haki kipindi maana walikua wanagonga spana mpaka basi sina uhakika kama safari ijayo mwakilishi wa mamlaka ataenda kama alivyoenda leo..
Watanzania wote ni wale wale wakishateuliwa wanaunga mkono hoja. Ni afadhali watu wanaohoji waendelee kubaki huku ili waendelee kuhojiAngalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.
Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.
pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.
Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili wapate teuzi.
Usije sema sijakwambia.
Uzi tayari.
Angalau wataunga mkono lkn watafanya vitu vya maana na angalau tutakuwa tumepata mawazo mapyaWatanzania wote ni wale wale wakishateuliwa wanaunga mkono hoja. Ni afadhali watu wanaohoji waendelee kubaki huku ili waendelee kuhoji
The system is so corrupt kiasi kwamba ukiungana nayo huwezi kwenda against it. Muulize yule DC wa Tanga kilichompata baada ya kujaribu kuleta changes. Ukiwa nje unaona rahisi ila ukiingia unakuja kugundua huwezi kubadili chochote. So, it is either uungane nao kula au upige kelele utolewe na hakuna kitakachobadilika.Angalau wataunga mkono lkn watafanya vitu vya maana na angalau tutakuwa tumepata mawazo mapya
Dodoma ni FM gani? HuwasikikiClouds fm wanafanya vizuri sana.
Habari Ziwafikie Wasafi FMAngalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.
Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.
pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.
Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili wapate teuzi.
Usije sema sijakwambia.
Uzi tayari.
Ni kweli kabisa kuna mahojiano wanayoyafanya yanatusaidia sana kutambua baadhi ya mambo hasa yanayoihusu jamii, kwakeli Redio ni chombo cha kuelimisha jamii.Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.
Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.
pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.
Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili wapate teuzi.
Usije sema sijakwambia.
Uzi tayari.
Masoud na Siza alafu pale wangemuingiza Babie Kabae....aseee ingekuwa motooooHaswa ukute Masoud Kipanya yupo. Kuna waandishi hawana njaa aisee.