Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
𤣠kwamba ina nini?Hii hii akili ndo unatumia kuongoza family?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𤣠kwamba ina nini?Hii hii akili ndo unatumia kuongoza family?
Hao vifaranga ulipata?.. maana AKM matangazo yao wanadai mwishon mwa mwezi wa 10 wanatoa vifaranga? Umepata? Au ndo changa la macho .....naona hata namba zao ni bila bilaJF salaam š
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi mahitaji ya wateja.
Lakini Hadi Leo hii Hali imezidi kuwa mbaya zaidi.
Mfano kuku aina kroiler wanao zalishwa kutoka AKM Kutoka Dar na Sasso kutoka SILVER LAND TANZANIA Iringa (Hawa ndo wazalishaji wakubwa wa kuku chotara hybyf1)
Hao AKM hata no zao hazi patikani kabisa.Ningependa kujua Kwa wafugaji wa dar Bado wapo Hawa na wanazalisha?
Kama wanazalisha Kwa Sasa wanatumiwa no zipi?
Upande wa iringa Hali kadharika Kwa silver land wao ukiagiza hawakatai lakini kupata mzigo ni issue nyingine
Jamaa yangu aliagiza akapigwa Dana Dana mwisho akaletewa broiler na hayakuwa matarajio yake!
Kwanini serikali isiwaruhusu wakenya Sasa waanze kuingiza vifaranga nchini na Kwa bei nzuri ?
Maana Kwa Sasa Sasso wamefia Hadi 2100 kifaranga kimoja
Kroiler nao mara ya mwisho kupatikana walikuwa na 1800
Vifaranga ama kuku Hawa nilio wataka wanajua haraka sana na wanafugika kienyeji kabisa Kwa 100%
Naomba kujua Kwa anaye Fuga ama aliyewahi fuga kuku aina ya Tanbro aseme kuhusu:
*Ustahimilifu wa magonjwa
*Ukuaji wake
*Uzito wake huchukua muda Gani Hadi kufikia kuuzwa
*Wanaanza kutaga akiwa na miezi mingapi?
*Nikweli wanafugwa kienyeji kama kuku chotara wengine?
Nahitaji nifuge hata Hawa maana Kwa upande wa Sasso na kroiler nilio wazoea hawapatikani Tena!!
NB: KWENYE PICHA NI KROILER NA SASSO.
HILO JOGOO RANGI NYEUSI YEKUNDU SHINGONI NI SASSO LIKIWA NA MIEZI4 NA WIKI3 TU 4.6Kg
Karibuni
View attachment 3089345View attachment 3089347View attachment 3089348
Bado mkuu. Nimewapigia wanasema watatoa wiki2 zijazoHao vifaranga ulipata?.. maana AKM matangazo yao wanadai mwishon mwa mwezi wa 10 wanatoa vifaranga? Umepata? Au ndo changa la macho .....naona hata namba zao ni bila bila
Vp walipatikana? Wik mbili tayariBado mkuu. Nimewapigia wanasema watatoa wiki2 zijazo
1:Kroila 2:Tanbro 3:Saso Hapa nimewapanga kulingana na ustahimilivu wa maradhi,Kwa upande wa ukuaji inakua ni kunyume chake,saso wa kwanza,tanbro na kroila wa mwisho.JF salaam š
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi mahitaji ya wateja.
Lakini Hadi Leo hii Hali imezidi kuwa mbaya zaidi.
Mfano kuku aina kroiler wanao zalishwa kutoka AKM Kutoka Dar na Sasso kutoka SILVER LAND TANZANIA Iringa (Hawa ndo wazalishaji wakubwa wa kuku chotara hybyf1)
Hao AKM hata no zao hazi patikani kabisa.Ningependa kujua Kwa wafugaji wa dar Bado wapo Hawa na wanazalisha?
Kama wanazalisha Kwa Sasa wanatumiwa no zipi?
Upande wa iringa Hali kadharika Kwa silver land wao ukiagiza hawakatai lakini kupata mzigo ni issue nyingine
Jamaa yangu aliagiza akapigwa Dana Dana mwisho akaletewa broiler na hayakuwa matarajio yake!
Kwanini serikali isiwaruhusu wakenya Sasa waanze kuingiza vifaranga nchini na Kwa bei nzuri ?
Maana Kwa Sasa Sasso wamefia Hadi 2100 kifaranga kimoja
Kroiler nao mara ya mwisho kupatikana walikuwa na 1800
Vifaranga ama kuku Hawa nilio wataka wanajua haraka sana na wanafugika kienyeji kabisa Kwa 100%
Naomba kujua Kwa anaye Fuga ama aliyewahi fuga kuku aina ya Tanbro aseme kuhusu:
*Ustahimilifu wa magonjwa
*Ukuaji wake
*Uzito wake huchukua muda Gani Hadi kufikia kuuzwa
*Wanaanza kutaga akiwa na miezi mingapi?
*Nikweli wanafugwa kienyeji kama kuku chotara wengine?
Nahitaji nifuge hata Hawa maana Kwa upande wa Sasso na kroiler nilio wazoea hawapatikani Tena!!
NB: KWENYE PICHA NI KROILER NA SASSO.
HILO JOGOO RANGI NYEUSI YEKUNDU SHINGONI NI SASSO LIKIWA NA MIEZI4 NA WIKI3 TU 4.6Kg
Karibuni
View attachment 3089345View attachment 3089347View attachment 3089348
1:Kroila 2:Tanbro 3:Saso Hapa nimewapanga kulingana na ustahimilivu wa maradhi,Kwa upande wa ukuaji inakua ni kunyume chake,saso wa kwanza,tanbro na kroila wa mwisho.
Kama lengo lako ni mayai fuga kroila,kama ni nyama saso na tanbro.
Sasso na tanbro hawafai kwa ufugaji wa muda mrefu wanaumwaumwa mno.Hawa usikae nao zaidi ya miezi miwili uza.
Kroila hana nyama Sana ila ni mstahimilivu mno na anataga Sana,ni wazuri kwa ufugaji wetu wakiafrika
Ahsantee sana mkuu. Tanbro sijawahi Fuga nitawafuga pia. Lkn kwangu Mimi sasso naona Hana shida sijawahi jutia Sana. Nakushukuru mno1:Kroila 2:Tanbro 3:Saso Hapa nimewapanga kulingana na ustahimilivu wa maradhi,Kwa upande wa ukuaji inakua ni kunyume chake,saso wa kwanza,tanbro na kroila wa mwisho.

Mkuu ulifanikiwa kuwapataMkuu nimeweka order intercheck Wana kuku aina ya Tanbro sijawahi kuwafuga awali hii ndo itakuwa first time.
Naomba kama hutojar ushare nasi picha za kuku wako
Asante mkuu1:Kroila 2:Tanbro 3:Saso Hapa nimewapanga kulingana na ustahimilivu wa maradhi,Kwa upande wa ukuaji inakua ni kunyume chake,saso wa kwanza,tanbro na kroila wa mwisho.
Kama lengo lako ni mayai fuga kroila,kama ni nyama saso na tanbro.
Sasso na tanbro hawafai kwa ufugaji wa muda mrefu wanaumwaumwa mno.Hawa usikae nao zaidi ya miezi miwili uza.
Kroila hana nyama Sana ila ni mstahimilivu mno na anataga Sana,ni wazuri kwa ufugaji wetu wakiafrika
Nilipewa bloila kufidiaMkuu ulifanikiwa kuwapata
Sawa SawaNilipewa bloila kufidia
Wakenya wana rafu alafu wabongo matapeli nani mwenye nafuu?Wakenya sio wa kuwaamini wale wana rafu sana kibiashara
Wakenya wana rafu alafu wabongo matapeli nani mwenye nafuu?