Kwa Sasa kupata vifaranga chotara aina Kroiler na Sasso F1 ni kazi sana

Hao vifaranga ulipata?.. maana AKM matangazo yao wanadai mwishon mwa mwezi wa 10 wanatoa vifaranga? Umepata? Au ndo changa la macho .....naona hata namba zao ni bila bila
 
1:Kroila 2:Tanbro 3:Saso Hapa nimewapanga kulingana na ustahimilivu wa maradhi,Kwa upande wa ukuaji inakua ni kunyume chake,saso wa kwanza,tanbro na kroila wa mwisho.

Kama lengo lako ni mayai fuga kroila,kama ni nyama saso na tanbro.

Sasso na tanbro hawafai kwa ufugaji wa muda mrefu wanaumwaumwa mno.Hawa usikae nao zaidi ya miezi miwili uza.

Kroila hana nyama Sana ila ni mstahimilivu mno na anataga Sana,ni wazuri kwa ufugaji wetu wakiafrika
 
 
Ahs
Ahsantee sana mkuu. Tanbro sijawahi Fuga nitawafuga pia. Lkn kwangu Mimi sasso naona Hana shida sijawahi jutia Sana. Nakushukuru mno
 
Ahs
Ahsantee sana mkuu. Tanbro sijawahi Fuga nitawafuga pia. Lkn kwangu Mimi sasso naona Hana shida sijawahi jutia Sana. Nakushukuru mno
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…