Kwa sasa mabenki yanatafuta shilingi na sio dola tena

Kwa sasa mabenki yanatafuta shilingi na sio dola tena

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Hapa katikati dola ilipaa sana na hata Rais Samia alikiri wazi kuwa shilingi imeadimika wakatika wa msiba wa Lawrence Mafuru

==
IMG_1749.jpeg

"Miezi michache iliyopita kuanzia mwezi wa pili mpaka wa saba na wanane dola ilikuwa inatafutwa kwa tochi Tanzania hata ukienda benki watakupa kiasi fulani cha dola tu walikuwa hawatoi dola lakini kuna muujiza umefanyika kwa sasa mabenki yanatafuta shilingi tena na sio dola hivyo ukitaka shilingi ndio mtihani lakini dola unaipata kwa urahisi" - Gabriel Mwang'onda - Mchambuzi wa masuala ya Kiuchumi
 
Ina maana kifo cha Mafuru Lawrence ndio kimeikimbiza shiling ya kitanzania kwenye mzunguko wa fedha ? 🤣🤣🤣
 
Sio kwamba ni dila ndio imeshuka na siyo shilingi ndio imeimarika???
 
Wandanganyana mtego waliotegewa ni ule ule was siku zote ...Mfumuko unakuja.
Mtatafutana.
 
Back
Top Bottom