Kuna mtu kanipigia simu leo anajifanya ananijua. Yeye anasema yuko morogoro, nahsi jf wako wengi sanaUwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Niw, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Namna hiyo ndio inatakiwa. Waboreshe na Technology tu.. ili ufanisi uwe 200%Sasa hivi naona wameamua kuifanya kwa asilimia zote
Sasa watekaji wote lazima wakamatwe potepote walipo wakiwakamata usiache kuja na kamrejesho humu.Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Bila kusahau watekaji.Kisa chadema? Wafutilie ma madawa yapo kibao kila kona
Kwani Kwa wastani, askari mmoja anahudumia raia wangapi?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Kumbe CHADEMA sio mchezo eti?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Dola ni maroboti au watu kama sisi?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Alafu ukiwakuta bar na sehemu zingine wanatia huruma hawana hela, ni majinga sana yani, rubbish kabisaHao division IV wangetumia nguvu kama hizo kufuatilia mambo kama haya ningewaona wa maana sana.
View attachment 3102072
Sasa nawawashukuru watambue umuhimu ba uwepo wao.Polisi wawashukuru CDM kwa kuwapa perdiem na extraduty allowance za kazi maalum kupitia kuzuia maandamano.