Kwa sasa Nchimbi anasikilizwa kuliko Mama Rojo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Nchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi.

Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali
 
Mimi huwa najiuliza yeye na truph ni nani anamzidi mwenziwe kwa akili?
 
Nchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi.

Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali
nchimbi ni mkakati wa kututoa kwenye reli. Wale wote ambao kwa dhati wanapingana na mfumo, hushughulikiwa kikamikifu. Rejea mfano wa Humphrey Polepole
 
Back
Top Bottom