nchimbi ni mkakati wa kututoa kwenye reli. Wale wote ambao kwa dhati wanapingana na mfumo, hushughulikiwa kikamikifu. Rejea mfano wa Humphrey PolepoleNchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi.
Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali