Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Kwa maoni yangu hapa nchini ni vyama viwili tu vilivyokomaa na ni vigumu kuvitikisa kwa sababu zifuatazo:
CCM ni chama kikongwe kimepitia misukosuko mingi kwa takribani miaka 30 pili ni chama chenye mizizi hadi vijijini kina wanachama almost 12m, tatu kina mifumo inayoeleweka na raslimali watu na fedha za kutosha nne ni chama dola.
upande wa chadema nacho kimekuwa kwenye nafasi ya upinzani almost 20 yrs pili kina mizizi hadi vijijini kwa sasa tatu kina mifumo inayoeleweka ya kiuendeshaji, kina misimamo thabiti ya kisera inayowavutia wananchi kukipenda, kina utetezi wa walala hoi.
kina raslimali watu wenye fikra pevu, ni chimbuko au chuo za kuzalisha wanasiasa wazuri kwenda kwenye vyama vingine na bado hakiishiwi. Ni chama cha pili kwa ukubwa wa wanachama almost 9 m.
kina ushawishi ndani na nje ya nchi. kiko imara mbali na misukosuko ya kisiasa. Haya chambua mwenyewe.