J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 17, 2022 #1 Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Nov 17, 2022 #2 Athubutu mtu! Akijaribu na awe ameshika chupa yake ya maji ya kunywa mkononi.