DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mama mjamzito anatakiwa kula chakula chenye virutubisho vyote, yaani wanga, protini, vitamini, mafuta, madini na chuma na foliki. Kwahiyo vijana wenzangu kama suala tuu la msosi bado ni shida basi endelea kutumia kondomu.