johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya.
Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho Mpoto na wengine wengi wanaopiga jalamba muda huu.
Changamoto itaikumba zaidi CCM kwani ndio yenye uhakika wa kushinda kwa 99%
Maendeleo hayana vyama!
Ushindi ni ushindi tu bwashee!Mzee Mgaya ccm haina uhakika wa kushinda kwa 90%, sema wanauhakika wa kutangazwa washindi kwa 90%. Kwasababu hawapatikani kwa utaratibu wa kukubalika kwa ridhaa ya wananchi, ndio maana unaona watu wasiosahihi wakiamua kujiiingiza kwenye siasa. Hayo ni madhara ya hizi siasa za kishenzi, na tutakuja kuvuna tunachokihalalisha sasa hivi.
Ushindi ni ushindi tu bwashee!
Hahahaaa........ Mzee Mgaya amerudi na Mh Joseph Selasini kutoka Rombo!Ni kweli mzee Mgaya, sasa kama ushindi ni ushindi hiyo mnayosema kukubalika mnaitoa wapi?