mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Brittney Griner ni nyota wa kike kwenye kwenye mpira wa vikapu/basket ball huko marekani. Alikamatwa huko Urusi akiwa na madawa ya kulevya na amehukumiwa jela kifungo cha miaka kumi. Rais Biden amekuja juu na "anaiagiza" Urusi imwachie haraka. Kwa bahati mbaya huyu mzee anajisahau anafikiri anaweza kutoa amri kwa Urusi kama anavyotoa amri kwa vibaraka wake wa ulaya kama Ujerumani nk, nampa pole kwa hilo!!
Lakini kilichonishangaza ni kuwa Biden anasema Brittney aachiwe huru ili akawe pamoja na mke wake wakati na yeye ni mwanamke!
“It’s unacceptable, and I call on Russia to release her immediately so she can be with her wife, loved ones, friends, and teammates,” the statement said, adding that the US government will “continue to work tirelessly and pursue every possible avenue” to bring home both Griner and Paul Whelan, whom Russia convicted of espionage in 2020 and sentenced to 16 years.
Kwa kweli Marekani ninanuka!!
Huyu hapa jike dume!! Afadhali afungwe tu akajifunze ustaarabu gerezani!!
Hao wanawake na wenyewe ni wehu!! Mtu flat kama wewe ndo nini sasa!!