Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Code:
Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo, 
Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari anaeza pata nafasi kumi akapatia moja au mbili, na ana bahati ya kupangwa kwenye kikosi, lakin sio mtulivo kabisa, 
 -Mwingine ni mzamilu pass zake ni bahati nasibu huyu bwana sijawai muelewa, asipo amka vizuri ndiyo BC atapoteza pass mwanzo mwisho, 
-boko na mugalu siwazungumzii kwa sababu hata  namba hawana Uwakika nazo,
 
Muhilu,John bocco,Erasto Nyoni ni wakati sasa wa kwenda mbao fc watuachie simba yetu
 
Bwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
 
Hamjui mpira nyinyi.kisa bwalya kakosa penati,yule ni mchezaji hatari,ukiniambia kibu na mugalu hata mi siwaelewi
 
Back
Top Bottom