Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Bwalya unamuonea mkuu. Ila Bocco daah! Labfa tumpe muda atarudi kwenye form

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Bwalya hana msaada kwenye timu. Anachelewesha mpira pasipotakiwa, pia angalia takwimu hana assist hata moja msimu huu ligi kuu wakati yeye ni namba 10. Amefunga goli moja tu ligi kuu tena la penalt, ndio maana watu wanamkumbuka CCC maana kazi yake ilikuwa inapimika.
 
Bwalya alitoa assist mechi vs KMC kule Tabora. Alipiga kona. Onyango akafunga kwa kichwa
 
Swali kama hili uliuliza mwanzo kabisa bila kumuhusisha Kasseja,nilipokujibu Kasseja na Kakolanya umeuliza tena swali iloilo kwa kumkrash Kasseja eti muda wake umeisha.
muda wake umeishaje kwa mfano,wakati KMC pangapangua na ni msaada kwa timu yake ,tena timu inashiriki ligi kuu?

Kipa wa kumtoa golini Manula ni Kasseja au Kakolanya.
Kaseja Mkuu ata uko KMC kwa sasa hapati namba unasemaje awe mbadala wa manula
 
Tuache unafiki, Bwalya ana kipaji lakini anahitaji mabadiliko makubwa sana! Awe very direct, hana madhara sana na ni mvivu kukaba. Ni talented lakini sio hatari, huko mbele tukipata watu serious atakosa namba!
 
Ukiona ujinga unapita Mkuu humu tunajadiliana hatupo kudhalalishana kwa kauli zisizofaa
Kama hutaki maoni ya watu unayosema ya kudhalilishana ondoka kwenye mitandao ya kijamii
 
Kama hutaki maoni ya watu unayosema ya kudhalilishana ondoka kwenye mitandao ya kijamii
Nikiona sina uhitaji nako nitaondoka chief isikupe shida. Ila penda kujadiliana kwa uungwana hamna anaekataa maoni ya mtu.
 
Tuache unafiki, Bwalya ana kipaji lakini anahitaji mabadiliko makubwa sana! Awe very direct, hana madhara sana na ni mvivu kukaba. Ni talented lakini sio hatari, huko mbele tukipata watu serious atakosa namba!
Kipindi wapo na chama na luis alikuwa hatari adi tukajua chama akiondoka yeye ndio mridhi kwa vile tulidhani chama alikuwa anafanya asionekane

Lakini tuliyodhani hayatokea
 
Kipindi wapo na chama na luis alikuwa hatari adi tukajua chama akiondoka yeye ndio mridhi kwa vile tulidhani chama alikuwa anafanya asionekane

Lakini tuliyodhani hayatokea
yaani imekua tofauti ajitumi hana uchungu wa kuibeba team, afu ni mchezaji mzuri
 
Back
Top Bottom