K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Bwalya hana msaada kwenye timu. Anachelewesha mpira pasipotakiwa, pia angalia takwimu hana assist hata moja msimu huu ligi kuu wakati yeye ni namba 10. Amefunga goli moja tu ligi kuu tena la penalt, ndio maana watu wanamkumbuka CCC maana kazi yake ilikuwa inapimika.Bwalya unamuonea mkuu. Ila Bocco daah! Labfa tumpe muda atarudi kwenye form
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app