Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo,
Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari anaeza pata nafasi kumi akapatia moja au mbili, na ana bahati ya kupangwa kwenye kikosi, lakin sio mtulivo kabisa,
-Mwingine ni mzamilu pass zake ni bahati nasibu huyu bwana sijawai muelewa, asipo amka vizuri ndiyo BC atapoteza pass mwanzo mwisho,
-boko na mugalu siwazungumzii kwa sababu hata namba hawana Uwakika nazo,
Uko serious kuhusu AishiMugalu.
Kibu.
Wawa.
Boco.
Manula na Muzamilu nimewaweka kwenye uangalizi maalum.
Kagere ni msaada mkubwa Sana kwa Simba ndugu yanguBwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
Dilunga humwelewi?Bwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
Maskini😰😰Bwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
Hana msaada kwa sasaKagere ni msaada mkubwa Sana kwa Simba ndugu yangu
Muwe mnathamini malegend wenu basiBocco auzwe bure
[emoji23][emoji23]uangalizi maalumuMugalu.
Kibu.
Wawa.
Boco.
Manula na Muzamilu nimewaweka kwenye uangalizi maalum.
Mbona kama timu yote sasaBwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
Timu yote hamna kitu, tutarajie aibu kubwa shirikishoMbona kama timu yote sasa