Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Manula ni mbovu Acha maswali ya kipolisi mkuu.
[emoji23][emoji23]Nataka tu kujua Mkuu uyo beno wanaemtaja namjua nje ndani nimepiga nae mbeya foundation academy kabla hajaenda mbaspo then prison B nae ana makosa yake madogomadogo kama Manula

Kipa kuwa na makosa baadhi haimanishi ndio mbovu kabisa kiasi cha kuonekana hafai
 
Wapo wengi,Kakolanya apewi nafasi lakini anamzidi Manula.
Juma Kaseja anavitu vingi mno kamzidi Manula mbali sana.
Ukiachana na juma k juma kwa sasa bongo kwa magolikipa wazawa hamna wa kumzidi Aishi

Mnachukulia kawaida kwa vile simba hatushambuliwi sana kiasi cha yeye kufanya save nyingi ila kwenye mechi za kimataifa ubora wake huwa mnauona
 
Mimi nijuavyo
Mimi najua manula ana ubovu wake unaokera,na kuwa na vitu vibovu kumi hakukifanyi kibovu kidogo kupona ubovu wake mimi nimesimamia kwamba kuna nyakati mwanadamu anaweza fanikiwa bila bidii wala haki. Na wakati mwingine hata ubora na ukubwa wa timu unachangia kumng'arisha.
 
Sasa wewe kumjua ina uhusiano gani na ubora wake
 
Ukiachana na juma k juma kwa sasa bongo kwa magolikipa wazawa hamna wa kumzidi Aishi

Mnachukulia kawaida kwa vile simba hatushambuliwi sana kiasi cha yeye kufanya save nyingi ila kwenye mechi za kimataifa ubora wake huwa mnauona
no.1 Juma K Juma.
 
Hana msaada kwa sasa
Anatakiwa aachwe tu apatikane striker mwingime
Mbna unaongea Kama wew ni mgen wa soka?? Hiv aliondoka na point zake sita na magoli aliyofunga manne mpaka saa Simba itabak na kitu??? Kagere bado ni msaada Sana na bado anauwezo mkubwa tu wa kufunga magoli
 
acha kuandika ujinga mzee
 
Muwe mnathamini malegend wenu basi
Bocco ametupa ubingwa wa Tz zaidi ya mara 2, maana mechi za mikoani yeye ndo alikuwa anafunga magoli muhimu na kutupa point muhimu za ugenini. Bocco ni legend na kiongozi mkubwa sana ndani ya timu ya Simba. Wachezaji wenye akili mbovu kama Morisson na Mkude mtu pekee wanaeweza kumsikiliza ni Bocco
 
Alivyokuwa Azam ubora wake ulionekana ata akiwa timu ya Taifa japo huwa tunazabuliwa lakini ubora wake huwa unaonekana kwa save zake
 
Sasa wewe kumjua ina uhusiano gani na ubora wake
Unaweza kuacha kusama apo kwenye kumjua ukasoma icho nilichoeleza kwenye mapungufu yao.

Wewe unavyoona kuna kipa wa ndani wa kumuweka manula benchi
 
Hakuna Golikipa anayemzidi Manula hapa Tanzania hasa Watanzania. Manuala uwezo wake yupo sawa na Golikipa wa Yanga yule Diara.
Bora umeliona ilo Mkuu. Haiwezekani makovha wote wakija wawe wanampanga manula tu

Ukiona ivyo wameona ana vitu vingi kuwazidi wezake, ata mechi za kimataifa huwa tunaona ubora wake, ni vile hatupendi kudhamini u kukubali ubora wa wachezaji wetu
 
Ndio nimekuambia Mkuu ukiachana na juma ambae muda wake umeshafika ukingoni ni kipa gani wa kumtoa golini manula?
Swali kama hili uliuliza mwanzo kabisa bila kumuhusisha Kasseja,nilipokujibu Kasseja na Kakolanya umeuliza tena swali iloilo kwa kumkrash Kasseja eti muda wake umeisha.
muda wake umeishaje kwa mfano,wakati KMC pangapangua na ni msaada kwa timu yake ,tena timu inashiriki ligi kuu?

Kipa wa kumtoa golini Manula ni Kasseja au Kakolanya.
 
Bwalya unamuonea mkuu. Ila Bocco daah! Labfa tumpe muda atarudi kwenye form

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Bwalya hana msaada kwenye timu. Anachelewesha mpira pasipotakiwa, pia angalia takwimu hana assist hata moja msimu huu ligi kuu wakati yeye ni namba 10. Amefunga goli moja tu ligi kuu tena la penalt, ndio maana watu wanamkumbuka CCC maana kazi yake ilikuwa inapimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…