Kwa shangwe hili la Kherson hapana

Kwa shangwe hili la Kherson hapana

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Nahisi waliopiga kura kujiunga na urusi ni mamluki wale 70000 waliohamishwa kwenda urusi maana sasa shangwe kila kona kushangilia ushindi wa kutwaa tena kherson kutoka mikononi mwa wavamizi.

Screenshot_20221112-093422_Chrome.jpg
 
Nahisi waliopiga kura kujiunga na urusi ni mamluki wale 70000 waliohamishwa kwenda urusi maana sasa shangwe kila kona kushangilia ushindi wa kutwaa tena kherson kutoka mikononi mwa wavamizi.

View attachment 2414167
Inawezekana nazeeka vibaya labda lakini habari imezungumzia Kherson, picha ya watu wa Kyiv. Sijui mlio bado kuzeeka au mnaozeeka vizuri mnaweza kuniweka sawa hapa!
 
Usishitushwa na shangwe la yoyote yule.Binadamu ni watu waongo sana.Kule Afghanistan siku Taliban walipolazimika kwenda mafichoni baada ya Marekani kutumia maguvu yake yote kuingia nchini humo.Tuliona watu wakikata viuno mabarabarani kushangilia.Muda si mrefu mambo yakageuka. Inaonekana wale walioshangilia walikuwa ni ndumilakuwili kwani muda haujapita wakaanza kupambana na jeshi la NATO.Na Iraq ni hivyo hivyo.
Kule Misri makundi ya watu waliandamana kumpindua Hosni Mubarak,baada muda si mrefu makundi mengine yakaandamana kumpinga rais Mursi..
 
Ngoja tuupe muda nafasi utaongea.
 
Inawezekana nazeeka vibaya labda lakini habari imezungumzia Kherson, picha ya watu wa Kyiv. Sijui mlio bado kuzeeka au mnaozeeka vizuri mnaweza kuniweka sawa hapa!
zipo video zaid ya 100 ukihitaj nitumie namba yako ya whatsup nkutumie hizo video , na story nying zimeongelewa ikiwepo wanajesh wa Urusi kubaka raia na kupiga risas wale walioonesha bendera ya Ukraine hadharan
 
Usishitushwa na shangwe la yoyote yule.Binadamu ni watu waongo sana.Kule Afghanistan siku Taliban walipolazimika kwenda mafichoni baada ya Marekani kutumia maguvu yake yote kuingia nchini humo.Tuliona watu wakikata viuno mabarabarani kushangilia.Muda si mrefu mambo yakageuka. Inaonekana wale walioshangilia walikuwa ni ndumilakuwili kwani muda haujapita wakaanza kupambana na jeshi la NATO.Na Iraq ni hivyo hivyo.
Kule Misri makundi ya watu waliandamana kumpindua Hosni Mubarak,baada muda si mrefu makundi mengine yakaandamana kumpinga rais Mursi..
mpk % kubwa ya wa afghanstan hawawapend Taliban mbali na wale wachache wenye msongo wa mawazo ndo wanasapoti taliban
 
Back
Top Bottom