Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watuzipo video zaid ya 100 ukihitaj nitumie namba yako ya whatsup nkutumie hizo video , na story nying zimeongelewa ikiwepo wanajesh wa Urusi kubaka raia na kupiga risas wale walioonesha bendera ya Ukraine hadharan
KabisaUkiwa na akili timamu huwezi kuchagua kuwa chini ya Russia!
Wanaoishabikia Urusi ni chuki zao binafsi tu dhidi ya Marekani na wala si vinginevyoUle uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Ule uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%.
Kukubali kuwa chini ya Russia ni kukubali kuwa chin ya diktetaUkiwa na akili timamu huwezi kuchagua kuwa chini ya Russia!
Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zaoKama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watu
Unyama ni unyama tu haijalishi umefanywa na nani?Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zao